Neema yako yanitosha
Mchungaji Elisha E. Nyamlundwa (Namba ya Utambulisho: R0032)
Msimamizi wa kanisa
River of Life (Kiwanda cha yeboyebo)
Pwani, Mkuranga, coast regional
Tanzania

Sala ya Uzazi salama

Kuzaa watoto ni zawadi kutoka kwa Mungu na huongeza furaha katika nyumba. Maombi kwa ajili ya mama mjamzito kujifungua salama ni jukumu letu sote. Yeye anayetoa uzima, kwa maombi yetu atubariki sisi na wapendwa wetu ili tupate watoto wenye furaha na Afya tele.