Neema yako yanitosha
Mchungaji Elisha E. Nyamlundwa (Namba ya Utambulisho: R0032)
Msimamizi wa kanisa
River of Life (Kiwanda cha yeboyebo)
Pwani, Mkuranga, coast regional
Tanzania

Sala ya mafanikio katika biashara

Kila mtu ambaye anafanya biashara angependa kupata faida na kuona biashara yake inakua /inaendelea . Watu wengi hawaendelei kibiashara kwa sababu ya kutomtegemea Mungu. Maendeleo katika biashara yanaweza kufikiwa kwa kuongozwa na Mungu.