Acha kuteseka Yesu anaponya
Askofu Dr. Getrude P. Rwakatare (Namba ya Utambulisho: S0001)
Bishop
Mountain of Fire Tanzania/ Assemblies of God (Mikocheni b)
Dar es Salaam, Kinondoni, DSM
Tanzania

Sala ya mavuno bora

Kilimo ni uti wa mgongo wa familia nyingi. Kuna wakati, mvua hazinyeshi kwa wakati na jua linawaka sana na mazao yanakufa. Kupitia muongozo na Baraka zake tunapata kuishi.ili ardhi iwe na rutuba na kuweza kuzalisha, tunahitaji kusali na kuweka Imani kwake Mungu, kwani ni yeye pekee anayeweza kurudisha chote kilichopotea na kutupa mvua na mavuno bora.