Acha kuteseka Yesu anaponya
Askofu Dr. Getrude P. Rwakatare (Namba ya Utambulisho: S0001)
Bishop
Mountain of Fire Tanzania/ Assemblies of God (Mikocheni b)
Dar es Salaam, Kinondoni, DSM
Tanzania

Sala ya mafanikio katika biashara

Kila mtu ambaye anafanya biashara angependa kupata faida na kuona biashara yake inakua /inaendelea . Watu wengi hawaendelei kibiashara kwa sababu ya kutomtegemea Mungu. Maendeleo katika biashara yanaweza kufikiwa kwa kuongozwa na Mungu.