Acha kuteseka Yesu anaponya
Askofu Dr. Getrude P. Rwakatare (Namba ya Utambulisho: S0001)
Bishop
Mountain of Fire Tanzania/ Assemblies of God (Mikocheni b)
Dar es Salaam, Kinondoni, DSM
Tanzania

Askofu Dr. Getrude p. Rwakatare - Cheti Binafsi (Kiswahili)

Vyeti binafsi

Bwana yesu apewe sifa , mimi ni Bishop dr Getrude Rwakatare ambaye ni muangalizi mkuu wa makanisa yetu ya mountain of fire (mlima wa moto )Tanzania na leo pia ningependa nikupatie cheti binafsi kutoka kwangu kuja kwako kwa ushirikiano wako mwema ,kwa muda wako kuangalia vipindi vyangu ,kwa kufuatilia huduma zangu ,ningependa niwe na maneno ya kukutamkia ya Baraka kusudi uende ukangare ,kusudi uondoke jina lako liwe sukari mdomoni mwa watu ,jina lako liwe chumvi midomoni mwa watu ,mbele ya mabosi upate kibali mbele ya wanawake na wanaume upate kibali .maneno haya ni unabii kwako sasa huwezi kupata haya maneno ila kwa kupitia ile certificate yangu binafsi inakujia kwako wewe kama patner wangu kama rafiki katika huduma ,kama msharika katika huduma hii certificate itakuwa ni kitu cha maana sana na mimi ningependa nikupatie kusudi na wewe uone kama hakika tuko pamoja katika huduma ,cheti hiki ni bure kinatoka kwangu kuja kwako mradi tu wewe uwe member wangu au mshiriki wangu katika huduma kwa kupitia SADAKA network ,hapo nitajua kama kweli ni mwenzangu na kwisha hapo basi ni Baraka mbele kwa mbele na Mungu akubariki na Mungu akutetee katika mambo yako yote .amen