Acha kuteseka Yesu anaponya
Askofu Dr. Getrude P. Rwakatare (Namba ya Utambulisho: S0001)
Bishop
Mountain of Fire Tanzania/ Assemblies of God (Mikocheni b)
Dar es Salaam, Kinondoni, DSM
Tanzania

Askofu Dr. Getrude p. Rwakatare - Cheti cha ujumbe wa hekima 2 (Kiswahili)

Upendo una nguvu sana na ukimpenda mwenzako basi Mungu yu pamoja nawe na atakubariki kwani neno lake linasema, Nyenyekeeni mbele za Bwana Mungu naye atawainua (yak 4;10).
Furaha kubwa iko katika kupendwa na kupenda na hivyo niwatakie Baraka mafanikio na faraja katika nyakati zote kwani Mungu wetu ni mkuu na kwake yote yanawezekana .
Mpenzi wangu, nakutakia mafanikio mema ya kila aina; nakutakia afya njema ya mwili kama ulivyo nayo rohoni.