Hakuna ugumu kwa mungu yote yanawezakana
Mchungaji Gosbert A. Simtovu (Namba ya Utambulisho: S0002)
Mchungaji
Mlima wa moto {boko magengeni} (Barabala ya Dege beach)
Dar es Salaam, Kinondoni, Dar es Salaam
Tanzania

Sala ya mafanikio katika biashara

Kila mtu ambaye anafanya biashara angependa kupata faida na kuona biashara yake inakua /inaendelea . Watu wengi hawaendelei kibiashara kwa sababu ya kutomtegemea Mungu. Maendeleo katika biashara yanaweza kufikiwa kwa kuongozwa na Mungu.