Hakuna ugumu kwa mungu yote yanawezakana
Mchungaji Gosbert A. Simtovu (Namba ya Utambulisho: S0002)
Mchungaji
Mlima wa moto {boko magengeni} (Barabala ya Dege beach)
Dar es Salaam, Kinondoni, Dar es Salaam
Tanzania

Askofu Gosbert A. Simtovu - Cheti Binafsi (Kiswahili)

Katika jina la Yesu pokea neno la kinabii, litakalo kupa tumaini jipya katika maisha yako ya kiroho na kimwili hata kwa familia yako. Kupitia chéti hiki Mungu akuinue na afungue madirisha ya Mbinguni na amimine baraka juu yako. Amen

Kumbukumbu 28:12 Atakufunulia Bwana hazina yake nzuri nayo ni mbingu kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake na kwa kubarikia kazi ya mkono wako nawe utakopesha mataifa mengi wala hutakopa wewe.