Acha kuteseka yesu anaponya
Mchungaji Dickson E. Masima (Namba ya Utambulisho: S0003)
Mchungaji
Mlima wa moto (Exel primary school)
Dar es Salaam, Kigamboni, Dar es Salaam
Tanzania

Sala ya safari njema

Safari kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine inaweza kuleta mambo ambayo hukuyatarajia . Safari ya kuelekea usikokujua mara nyingi inagubikwa na woga. Ni muhimu kuweka Imani yetu kwa Mungu ili atubariki sisi na wapendwa wetu kabla na baada ya safari.