Acha kuteseka yesu anaponya
Mchungaji Dickson E. Masima (Namba ya Utambulisho: S0003)
Mchungaji
Mlima wa moto (Exel primary school)
Dar es Salaam, Kigamboni, Dar es Salaam
Tanzania

Mchungaji Dickson E. Masima - Cheti Binafsi (Kiswahili)

Mungu hajawahi kushindwa wala hata shindwa, hata sasa mtegemee yeye mweza wa yote atakushindia. Usivunjike moyo amini tu atafanya.

AYUBU 42: 2
“Najua ya kuwa waweza kufanya mambo yote, Na ya kuwa makusudi yako hayawezi
kuzuilika.”