Mchungaji
Sebastian
S.
Kimario
(Namba ya Utambulisho: S0004) Mchungaji kiongozi
Mlima wa moto Bunju B (Ofisi ya Serekali ya mtaa Kihonzile)
Dar es Salaam,
Kinondoni,
Dar es Salaam
Tanzania
House Location
Close
Sala kwa ajili ya Amani nyumbani
Sote tunatamani nyumba yenye Amani. Nyumba yenye Amani inaleta Amani ya akili , mwili na roho kwa wale wanaoishi ndani yake. Amani nyumbani inaweza kuvurugwa na wale wanaoishi ndani au nje ya nyumba lakini sala huweka nyumba katika Amani na usalama