Nguvu ya neno la Mungu inaponya
Mchungaji Sebastian S. Kimario (Namba ya Utambulisho: S0004)
Mchungaji kiongozi
Mlima wa moto Bunju B (Ofisi ya Serekali ya mtaa Kihonzile)
Dar es Salaam, Kinondoni, Dar es Salaam
Tanzania

Sala ya mafanikio katika biashara

Kila mtu ambaye anafanya biashara angependa kupata faida na kuona biashara yake inakua /inaendelea . Watu wengi hawaendelei kibiashara kwa sababu ya kutomtegemea Mungu. Maendeleo katika biashara yanaweza kufikiwa kwa kuongozwa na Mungu.