Nguvu ya neno la Mungu inaponya
Mchungaji Sebastian S. Kimario (Namba ya Utambulisho: S0004)
Mchungaji kiongozi
Mlima wa moto Bunju B (Ofisi ya Serekali ya mtaa Kihonzile)
Dar es Salaam, Kinondoni, Dar es Salaam
Tanzania

Mchungaji Sebastian S. Kimario - Cheti Binafsi (Kiswahili)

Mungu ni mwema siku zote kwako na kwa familia yako na anakuwazia mambo mazuri wewe na nyumba yako, pokea baraka; ubarikiwe kwa jina la Yesu Kristo.

YEREMIA 29:11
“Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya amani
wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.”