Waislam tujitolee kuupeleka uislam mbele
Imamu Mohammed H. Athuman (Namba ya Utambulisho: D1001)
Imam
Masjid Badri (Stendi ya Mabasi Mtongani)
Dar es Salaam, Temeke, Dar es Salaam
Tanzania

Dua ya kujalia Uzazi salama

Kuzaa watoto ni zawadi kutoka kwake Allah na huongeza furaha katika nyumba. Dua kwa ajili ya mama mjamzito kujifungua salama mtoto mwenye afya njema ni jukumu letu sote. Allah anayetupa uhai kwa dua zetu na sadaka atubariki sisi na wapendwa wetu kupata watoto wenye furaha na Afya tele.