Waislam tujitolee kuupeleka uislam mbele
Imamu Mohammed H. Athuman (Namba ya Utambulisho: D1001)
Imam
Masjid Badri (Stendi ya Mabasi Mtongani)
Dar es Salaam, Temeke, Dar es Salaam
Tanzania

Dua ya kujalia mafanikio katika biashara

Kila mfanyabiashara a angependa kupata faida na kuona biashara yake inaendelea . Watu wengi hawaendelei kibiashara kwa sababu ya kutomtegemea Allah. . Allah ndie mtoa Yote. Maendeleo katika biashara yanaweza kufikiwa kwa kumuabudu yeye.