Rotary ROTARY CLUB OF DSM PENINSULA
Namba ya Utambulisho: X0007
kituo cha radio EFM .
Namba ya Utambulisho: C0006
Mwanafunzi Zion Marshall
Namba ya Utambulisho: Y0016
Hospital Muhimbili national .
Namba ya Utambulisho: X0004
Mwanamuziki Layla (Voice Fairy)
Namba ya Utambulisho: Y0012
Television TV E
Namba ya Utambulisho: C0018
Gazeti Daily News .
Namba ya Utambulisho: C0009
Hospitali Aga Khan Health Service, Tanzania
Namba ya Utambulisho: X0001
CEO Irene Kiwia
Namba ya Utambulisho: Y0015
Digital Platform Simulizi na Sauti .
Namba ya Utambulisho: C0014
Gazeti HabariLEO .
Namba ya Utambulisho: C0008
Muigizaji/Muandaaji Monalisa .
Namba ya Utambulisho: Y0003
International Foundation Reconstructing Women International (RWI)
Namba ya Utambulisho: X0003
Public Relations (PR) MAI Consultancy Services
Namba ya Utambulisho: X0014
Mwanamichezo Hasheem Thabeet
Namba ya Utambulisho: Y0005
Mtangazaji Dina Marios
Namba ya Utambulisho: Y0013
Kituo cha Televisheni Star TV Tanzania
Namba ya Utambulisho: C0005
Radio Station Radio Free Africa
Namba ya Utambulisho: C0016
Mwanamziki Gnako .
Namba ya Utambulisho: Y0011
Kipindi cha Redio Maisha Mseto (TIMES FM)
Namba ya Utambulisho: C0011
Jarida Advertising Dar
Namba ya Utambulisho: C0013
TOT BONANZA.
Namba ya Utambulisho: C0021
Kituo Cha Televisheni TV 1 TANZANIA
Namba ya Utambulisho: C0010

Rudisha tabasamu usoni mwao -kambi ya uchunguzi kisarawe.
Jun 29, 2019

Nenda kwenye Mradi

Mradi wa “ Rudisha tabasamu kwenye nyuso zao" unadhumuni la kuwafanyia upasuaji wa kurekebisha wanawake na watoto nchini Tanzania. Kama sehemu ya mradi huu tuliamua kutembelea wilaya ya Kisarawe kwa kusudi la kuweka kambi ya uchunguzi ya kutafuta wanawake na watoto wenye makovu na yaliyo sababishwa na ajali, ajali za moto na ukatili wa kijinsia.
Tulifika Kisarawe Jumamosi asubuhi tarehe 29/06/2014 pamoja na madaktari kutoka Hospitali ya Aga Khan na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na klabu ya Rotary ya Peninsula, Dar es Salaam. Sisi sote tulikuwa tayari kushiriki na kuwapokea wanawake na watoto watakao tokea kwa ajili ya uchunguzi.
Ilikuwa siku nzuri ambayo tuliweza kupata wanawake ambao walikuja kufanyiwa uchunguzi na ni wawili ambao walistahili kufanyiwa upasuaji.
Tungependa kumshukuru kila mtu aliyefanya tukio hili liwezekane, kwa muda wao na ushiriki wao.